People's Magazine
The place where you can find everything...
Home
Wednesday, 15 May 2013
Home
»
Celebrities News
,
OMG
» Namfuata MWISHO Namibia
Namfuata MWISHO Namibia
By
Unknown
12:04
No comments
LICHA ya Mwisho Mwampamba kuwa mume wa ndoa wa Meryl Shikwambane, msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha amesema anajiandaa kwenda nchini Namibia wanapoishi wanandoa hao kwa lengo la kujumuika na Mwisho na kula bata.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko jijini Dar es Salaam, Baby alisema bado ana uhusiano wa kimapenzi na Mwisho na kwamba yeye ndiye alimwalika aende Namibia wakafurahie penzi lao.
“Nakwenda Namibia kwa Mwisho wangu. Simwogopi huyo Meryl, kwanza yeye ndiye aliyeingilia penzi langu. Mimi ndiye wa kwanza kuwa na Mwisho, hivyo ni halali yangu.
“Mwisho mwenyewe ndiye aliyeniambia niende na amesema nitafikia hotelini, nitafurahi naye kwa muda wote nitakaokuwa huko, mambo mengine mwenyewe ameshayapanga na atajua cha kufanya.”
Kwa hisani ya GLP
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Categories:
Celebrities News
,
OMG
← Newer Post
Older Post →
Home
0 maoni:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
Search this Blog
Ukitaka kuwa maarufu BONGO lazima uwe hivi?!!
Mwanamke anusurika kuuawa na PADRI amabye ni mpenzi wake huko kibaha
Bi Celestina Ananius(35) amenusurika Kuuawa na Padri wa kanisa katoliki parokia ya hombolo iliyoko dodoma kwa jina la celestine john n...
Davina apiga Mkwara mzito kuhusu ndoa yake ........... asema watu wakomee
STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kusema watu wanaovumisha kwamba ameolewa mke wa pili wakome kwani yeye ndiye wa...
Jifunze kufunga tai.
Sajuki na Wastara ni mfano tosha wa mapenzi halisi na ya kweli....
Kivazi
Kuona picha zake zaidi fungua hapa - Chelsee Healey
Fashion?
'A car crash broke my face in half': Man, 22, is left with 42 fractures in his face and blind in one eye after 50mph collision
Sam Fretwell was wearing a seatbelt during the accident in May last year Force of the impact sent his face into the steering wheel, '...
Mwalimu afa kimiujiza
Mwalimu Gloria Tarimo ‘Ticha Gloria’ (29) aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Mbezi High School ya jijini Dar, amefariki dunia katika m...
Msanii Ray C azungumzia dawa za kulevya
Cheza katika media player
Powered by
Blogger
.
My favorite News blog
Loading...
Celebrities Gossip
Loading...
.
Tags
Afya
(116)
Broken heart stories
(1)
Celebrities kids
(18)
Celebrities News
(783)
Children
(4)
Death Anouncement
(1)
Dini
(27)
Elimu
(5)
Extraordinary People
(12)
Familia
(26)
Full aibu
(87)
General
(20)
Karibu Jamvini
(1)
Katuni
(11)
Kazi za Jamii
(3)
Magazeti pendwa
(228)
Mahusiano
(281)
Majanga
(16)
mambo ya kuiga
(3)
Mapishi
(2)
Michezo na Burudani
(49)
Mikasa ya Maisha
(2)
Mila na desturi
(14)
Moyo Mpweke
(3)
Msaada kwenye tuta...
(10)
Nyumba
(28)
OMG
(476)
OMG... Black are beautiful
(10)
Picha huongea
(25)
Sayanzi na Tekinolojia
(3)
Siasa
(82)
Tangazo
(2)
Tiba Mbadala
(4)
True story
(77)
Ugaidi
(1)
Ukatili
(55)
umaarufu kazi
(28)
Urembo
(20)
Video
(10)
Vipaji
(3)
Vituko mtaani
(164)
Vivazi na Mitindo
(171)
Wanaume
(32)
Wanawake
(121)
0 maoni:
Post a Comment