Showing posts with label Ukatili. Show all posts
Showing posts with label Ukatili. Show all posts

Thursday, 20 November 2014

Mtoto wa miaka 3 abakwa Afghanistan

Kwa kimya kingi, mtoto Neelofar mwenye umri wa miaka mitatu pekee amepakatwa na nyanyake katika kiti cha nyuma cha texi ikimkimbiza hospitalini.
Ndani ya mwili wake kuna kijipaipu ambacho amewekewa kutumiwa kumpa dawa kama huduma ya kwanza kabla ya kufikishwa hospitalini.
Mkono wake mmoja umefungwa kwa bandeji ambako kuna kifaa kinachotumiwa kuingizia maji mwilini mwake.
Mtoto Neelofar yuko hali mahututi, baada ya kubakwa na anahitaji matibabu maalum ambayo anaweza kupokea tu hospitalini.
Siku chache zilizopita, Neelofar alikuwa anacheza na rafiki zake nje ya nyumba yao wakati mwanamume mmoja alimteka na kwenda naye katika shamba lililokuwa karibu na nyumba hiyo.
Kulingana na familia yake na wahudumu wa afya, mbakaji alimfunga kinywa mtoto huyo na kumbaka na hata kujaribu kumuua.
Kwa karibu mtoto huyo ana majeraha mabaya na pia anahisi uchungu mwingi wakati akiendelea kupokea matibabu hospitalini.
Mwanamume huyo alimziba pua na mdomo mtoto kujaribu kumkosesha pumzi mtoto kwa sababu aliogopa kwamba angepiga mayowe. Mtoto huyo alikuwa ana alama nyingi shingoni mwake dalili ya majereha aliyoyapata.
Wazazi wa mtoto huyo hawakuwa nyumbani wakati wa kitendo hicho cha unyama.
Kwa bahati nzuri, familia ya mtoto inasema kuwa mwanamume aliyekuwa anapita karibu na nyumba hiyo ndiye alisikia mayowe yake na kumuokoa.
Neelofar alipatikana akivuja damu na akiwa ametupwa karibu na msikiti katika kijiji hicho.
Polisi wamemkamata mwanamume mwenye umri wa miaka 18 kuhusiana na unyama huo.
Inaarifiwa kuwa mwanamume huyo ni jirani na mtu anayejulikana kwa familia ya mtoto huyo.
Kwa hisani ya a BBC Swahili

Sunday, 10 August 2014

Nyumba ya ‘mlawiti’yateketezwa


Moshi. Wananchi wenye hasira, wameteketeza kwa moto nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Mwika Uuwo, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu kulawiti wanaume  wenzake.

Saturday, 9 August 2014

Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi


Hai. Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini hapa akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).

Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa akimpiga mfanyakazi wake huyo sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo kumvuta nyama za sehemu za siri kwa kutumia bisibisi.

Friday, 30 May 2014

Unajua habari kamili kuhusu Kifo cha Mbongo Movie RECHO HAULE? soma hapa na uone matukio mbalimbali ya kuagwa na mazishi yake

. Saa 23 alizopigania uhai wake
. Madaktari wamficha mchumba wake ukweli
. Utabiri wa Kuambiana kwa Recho huzuni tupu
. Odama abaki na siri nzito za marehemu

Wednesday, 14 May 2014

DUNIA IMEISHA!! Njemba lanaswa na DENTI wa Kiume gesti!

  • Adaiwa kuwa nae chumbani usiku kucha
  • Wahudumu wasikia miguno waita Polisi, wakamatwa

Tuesday, 25 February 2014

Mtanzania abakwa, afa China CHINA

AMA kweli dunia hadaa, ulimwengu shujaa! Kumeibuka mchezo mchafu, kuna Watanzania wanawachukua warembo nchini na kuwapeleka China kwa ahadi kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni, wakifika kule wanawanyang’anya paspoti na kuwauza kwa wanaume (ukahaba), sasa yamemkuta Mbongo aitwaye Sabrina au Habiba (pichani), Ijumaa Wikienda lina mkasa wa kusikitisha.

Tuesday, 18 February 2014

KATIKA hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Dorah Joseph (34) anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kutuhumiwa kumfunga mnyororo mtoto wa kaka yake aitwaye Happy Joseph (13) na kumtelekeza bila kumpatia huduma muhimu, ikiwemo chakula.
Kwa mujibu wa majirani na mashuhuda, kisa cha mwanamke huyo kufanya kitendo hicho cha kikatili, ni katika harakati zake za kutaka kumtumia mtoto huyo kishirikina ili aweze kujipatia mali.

Sunday, 9 February 2014

Rape victim shot dead in court as she was due to give evidence against local 'godman' in India

  • Victim, 25, fighting rape case against Govindanand Teerath for two years
  • Shot as she arrived at court in India to give statement against 'godman'
  • Her mother was injured in the shooting and is now recovering in hospital
  • 'Godman' refers to high-profile Indian guru who makes spiritual claims
  • Two men have been detained by police after the woman died at the scene
Tragic: The shooting happened at a court in Utter Pradesh's Mathura region. The rape victim died at the scene
Tragic: The shooting happened at a court in Utter Pradesh's Mathura region. The rape victim died at the scene

Thursday, 23 January 2014

Abakwa kwa amri ya wazee wa kijiji India

Mshukiwa wa kitendo cha ubakaji
Polisi nchini India wamewakamata wanaume 13 waliohusishwa na genge la wanaume waliombaka msichana mwenye umri wa miaka 20 katika jimbo la Benghal Magharibi. Inadaiwa wanaume, hao walimbaka mwanamke huyo kufuatia amri ya wazee wa kijiji ambao wamejipa wenyewe mamlaka ya mahakama ya kitamaduni. Msichana huyo amelazwa hospitalini kwa matibabu akiwa hali mahututi. Inaarifiwa amri ya kumbaka mwanamke huyo ilitolewa na wazee wa kijiji ambao walipinga uhusiano wake na mwanamume kutoka katika jamii tofauti. 

Thursday, 16 January 2014

Athari za dawa ya Saratani zamtuma kuua

Jean na Sarah walipatikana wakiwa wameuawa nyumbani kwao
Mwanamume mmoja anayeugua Saratani nchiini Uingereza, amefungwa jela maisha baada ya kumuua mkewe na mtoto wake msichana kutokana na athari za madawa anayotumia kwa matibabu ya Chemotherapy. Peter Redfern alimnyonga mkewe kabla ya kumshambulia kwa shoka na kumuua mtoto wake msichana Sarah katika mtaa wa Wath-upon-Dearne mwaka jana.

Shocking photos emerge showing U.S. Marines burning bodies of Iraqi insurgents, posing for pictures with skeletons and even an enemy soldier's remains being eaten by a dog as Pentagon launches probe

  • The explosive photographs, reportedly taken in Fallujah in 2004, have sparked a Marine Corps investigation
  • However, many of the 41 shots, obtained by TMZ, are just too grisly to publish
  • Two pictures show a Marine pouring gasoline on the enemy remains, another two images show the Iraqi soldiers going up in flames while a fifth picture captures the charred bodies
  • U.S. Central Command, which oversees military operations in the Middle East, determined the photos had not been brought to their attention before
Horrific: Shocking images depicting U.S. soldiers burning the bodies of what appear to be Iraqi insurgents, have emerged today
Horrific: Shocking images depicting U.S. soldiers burning the bodies of what appear to be Iraqi insurgents, have emerged today

Wednesday, 15 January 2014

Syrian refugees forced to let Lebanese landlord marry their 14-year-old daughter because they cannot afford the rent

  • Hanifa Amar's family escaped bloody fighting to neighbouring Lebanon
  • Landlord has threatened to evict them unless she becomes second wife
  • Crying teenager says: 'My life is destroyed. I don't want to marry him'
'My life is destroyed': Fourteen-year-old Hanifa Amar is being forced to marry a 44-year-old landlord in exchange for her family's safe refuge in Lebanon after fleeing the civil war in Syria
'My life is destroyed': Fourteen-year-old Hanifa Amar is being forced to marry a 44-year-old landlord in exchange for her family's safe refuge in Lebanon after fleeing the civil war in Syria

Saturday, 11 January 2014

Askari JWTZ kizimbani kwa mauaji

ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Rashid Mzee Abdalla (43), mkazi wa Mtoni Kijichi, amepandishwa kizimbani kwa makosa ya kuua watu wawili. Rashid alifikishwa jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, mbele ya Hakimu Ester Mwakalinga. Wakili wa Serikali Nassoro Katuga, alidai mahakamni hapo kuwa matukio hayo yalitokea Januari Mosi, mwaka huu, katika mkesha wa wa Mwaka Mpya, maeneo ya Pugu Kwa Mustafa, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Friday, 20 December 2013

Waasi waua watu 1000 Afrika ya Kati

Wanamgambo wa kundi la anti-balaka, Jamhuri ya Afrika ya Kati
Takriban watu elfu moja wameuawa na waasi wa zamani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mapambano yaliyodumu kwa siku mbili yaliyojitokeza mwezi huu, makadirio haya yanazidi yale ya Umoja wa Mataifa. Shirika la Amnesty International limesema. Shirika hilo limesema kuwa uhalifu wa kivita bado unaendelea kufanyika nchini humo. Wapiganaji hao ambao wengi wao ni Waislamu walimuondoa madarakani aliyekuwa rais wa taifa hilo, Francois Bozize mwezi March, hali iliyosababisha mgogoro ndani ya jamii nchini humo.

Wednesday, 18 December 2013

Majambazi yawabaka mama, wanawe watatu

Watu  wanaokadiriwa kufikia saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na mapanga na marungu, wamevamia nyumbani kwa mkazi wa kijiji cha Kaduda kata ya Katoro wilayani Geita na kuwabaka kwa zamu mama na wanawe watatu kwa zaidi ya saa mbili. Hali kadhalika, watu hao walimjeruhi mmoja wa watoto wake wa kiume aliyekuwa akishuhudia unyama huo ukifanyika.

Friday, 13 December 2013

The women whose scars shame India: Victims of cruel acid attacks demand action over growing number of assaults

  • Law prohibits sale of acid unless the seller maintains a record of the buyers 
  • Highly concentrated acids are readily available in India for use as cleaners 
  • Some 1,500 acid attacks are reported worldwide every year
Pain: An acid attack victim feels the contours of her face as she sits in the office of the Indian NGO Stop Acid Attacks in New Delhi, India
Pain: An acid attack victim feels the contours of her face as she sits in the office of the Indian NGO Stop Acid Attacks in New Delhi, India

Tuesday, 10 December 2013

Mwanamke aliyedai kubakwa ahukumiwa Somalia

Mahakama nchini Somalia, imemhukumu kifungo cha nyumbani mwanamke aliyedai kubakwa pamoja na waandishi wawili wa habari waliomhoji kuhusiana na madai hayo. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 19, alipewa kifungo cha nje cha miezi sita kwa kile mahakama ilisema ni kutoa taarifa zisizokweli.

Thursday, 21 November 2013

Las Vegas woman who was 'sleeping with her son' is on trial for 'orchestrating murder-for-hire plot to kill off husband and cash in on his insurance policy'

  • Amy Bessey's attempted murder and conspiracy trial began Wednesday in Las Vegas justice court
  • Bessey, also known as Amy Pearson, allegedly plotted to kill her husband with her son and brother to get his $250,000 life insurance plan before their divorce was finalized
  • The two men were spotted on gas station surveillance video near the crime scene and driving the car used in the shooting
  • Amy Bessey is accused of having had an unnaturally close relationship with her biological son, Michael Bessey, who her ex-husband adopted
  • Husband Robert Bessey was shot in the neck in November but survived and testified in her trial
  • Son said earlier they wanted to kill him 'as he was abusive to the family'
s
Planned: Prosecutors said Amy Bessey, 43, pictured in court on Wednesday, planned the November 2012 hit on husband, Robert Bessey, just days before their divorce finalized

Monday, 11 November 2013

Mall massacre suspects handcuffed in the dock: Four Somalians appear in court accused of helping gunmen carry out Kenya terror attack which left at least 67 dead

  • Abdi Mohamed Ahmed, Liban Abdulle Omar, Adan Mohamed Ibrahim and Hussein Mustafa Hassan, appear in Nairobi court 
  • All pleaded not guilty to charges of carrying out a terrorist attack by supporting a terrorist group
  • None are accused of being among the gunmen who carried out the attack
  • At least 67 people died when al-Shabaab gunmen stormed the building 
  • Children as young as five were shot up to five times by the terrorists

Charged: Abdi Mohamed Ahmed, Liban Abdulle Omar, Adan Mohamed Ibrahim and Hussein Mustafa Hassan, were today charged in connection with the Kenyan Westgate mall massacre in September
Charged: Abdi Mohamed Ahmed, Liban Abdulle Omar, Adan Mohamed Ibrahim and Hussein Mustafa Hassan, were today charged in connection with the Kenyan Westgate mall massacre in September

Thursday, 31 October 2013

Pamoja tuseme hapana kwa mambo kama haya....MTOTO MIAKA 8 HAUSIGELI

UKATILI! Katika hali ya kusikitisha, mtoto mwenye umri wa miaka 8 aliyejitambulisha kwa jina la Loveness na mwenzake aitwaye Anna, wanadaiwa kulazimishwa kufanya kazi za ndani huku wakipata vipigo vikali kutoka kwa waajiri wao. Loveness alikuwa akifanyishwa kazi Ubungo-Maziwa na Anna alikuwa Kimara jijini Dar.