Monday, 24 December 2012
Ukitaka kuwa maarufu BONGO lazima uwe hivi?!!
Categories: Celebrities News, Full aibu
Related Posts:
Trafiki FEKI atoa viroja mbele ya Hakimu JAMES Hussein, mkazi wa Kimara, Dar alikuwa na wakati mgumu wa kukwepa kamera zilizotua Mahakama ya Wilaya Ilala, jijini Dar juzi baada ya kufikishwa kwa kosa la kujifanya trafiki. Tukio hilo lilijiri mahakamani hapo Ag… Read More
MSANII MWINGINE APIGA PICHA ZA UTUPU Hawa Wasanii wa Bongo muvi wanazidi kwenda pabaya kabisaaaa haya muangalie huyu dada pichani pia ni msanii wa filamu Bongo, anaitwa Mary John ‘Maua’ amepiga picha za utupu sasa sijui hapa anaigiza au ana… Read More
Tamaa mbaya! ... Mke wa mtu apokea kichapo cha kufa mtu kwa kuiba nguo dukani NDANI ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, jimama mwenye hadhi yake ambaye ni mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Mary au Mama Gilo, mkazi wa Sinza jijini Dar amekula kichapo cha kutisha almanusra apoteze uhai baada ya kunasw… Read More
Picha za Uchi zamtokea puani Mrembo huyo aliyeshiriki Shindano la Miss Utalii 2013, Fathiya Khalfan amepigwa na mchumba’ke huyo anayeishi naye maeneo ya Buza jijini Dar (jina halikupatikana) hadi kuponea chupuchupu kupoteza uhai. Kwa mujibu w… Read More
Mke afumaniwa live..... tena kwenye chumba chao cha kulala! TIMBWILI zito limeibuka baada ya mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Samora kumnasa ‘live’ mkewe Hadija akimsaliti kwa kuvunja amri ya 7 (usizini) na hawara ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, tena kwenye chumba chao, Ij… Read More
5 maoni:
sio kukaa uchi ndo umaarufu bali wamezowea hao kukaa uchi
kukaa uchi wanataka wao tu na si umaarufu
huo c umaarufu bali ni kueneza umalaya katika jamii na hayo si maadili mema
Ujinga mtupu. Unaamka asubuhi na kufikiria kufanya madudu!
Ujinga mtupu. Unaamka asubuhi na kufikiria kufanya madudu!
Post a Comment