Monday, 24 December 2012
Ukitaka kuwa maarufu BONGO lazima uwe hivi?!!
Categories: Celebrities News, Full aibu
Related Posts:
LULU amponza Dr. Cheni STAA mkubwa wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadh ’Dk. Cheni’, amevamiwa na watu wawili wanaodaiwa ni vibaka na kufanyiwa fujo, kisa kikidaiwa kuwa ni dhamana aliyomwekea mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika ile kesi ya… Read More
Family affair? Habari kamili fungua hapa - Family affair … Read More
Bongo bwana? Urafiki wa WEMA na KAJALA kwishney? wapambe ndio chanzo....... KIMENUKA! Utabiri wa wengi kuwa ushosti wa waigizaji masistaduu wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja kutumbukia nyongo unadaiwa kutimia na sasa wametibuana, Ijumaa limenyetishiwa. Habari za ndani kuto… Read More
First daughters in Fashion....... Fuatilia habari hii kwa kufungua hapa - First Daughters … Read More
DIAMOND, MARLAW, MWASITI, CHEGGE NA WENGINEO KIBAO KUUPAMBA USIKU WA TUDD THOMAS DAR LIVE … Read More
5 maoni:
sio kukaa uchi ndo umaarufu bali wamezowea hao kukaa uchi
kukaa uchi wanataka wao tu na si umaarufu
huo c umaarufu bali ni kueneza umalaya katika jamii na hayo si maadili mema
Ujinga mtupu. Unaamka asubuhi na kufikiria kufanya madudu!
Ujinga mtupu. Unaamka asubuhi na kufikiria kufanya madudu!
Post a Comment