Showing posts with label Elimu. Show all posts
Showing posts with label Elimu. Show all posts

Wednesday, 15 May 2013

Mashetani yavamia shule ya Sekondari Manzese

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese iliyopo Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam jana wamevamiwa na mashetani na kuanguka hovyo darasani huku wakipiga kelele na kuongea maneno yasiyoeleweka na kusababisha hofu kutanda maeneo hayo.

Wednesday, 17 April 2013

Ipe maneno hii picha

Thursday, 11 April 2013

Waziri Mulugo apiga mkwara kwa watu wanaomzushia kufoji vyeti.... akiri kurudia darasa...

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amesema atawafikisha mahakamani watu wanaodai kuwa ameghushi vyeti vya elimu ya sekondari.  Mulugo alisema amechoshwa na kashfa hizo zinazosambazwa na baadhi ya watu atawafikisha mahakamani endapo wataendelea kumdhalilisha. Mulugo alitoa kauli hiyo alipofungua mkutano wa mwaka wa Umoja wa Wamiliki wa Shule za Sekondari na Vyuo Binafsi Tanzania (TAMONGSCO0) jijini Mbeya.“Wanasema eti nimeghushi vyeti, mara ooh sijui natumia jina la mtu. Nimechoshwa na maneno haya… ni kweli nimerudia darasa kama walivyorudia watu wengine, kwa nini iwe tatizo kwangu. Hata hapa tulipo wapo wengi tu waliorudia darasa.

Monday, 11 March 2013

BBM yamuumbua mwanafunzi wa chuo Mwanza baada ya picha zake za utupu kuvuja ...

DENTI wa chuo kimoja kilichopo jijini Mwanza (jina tunalihifadhi) aliyefahamika kwa jina la Fatma Omar amejikuta akiumbuka kwenye mtandao wa BBM baada ya picha zake chafu alizokuwa ‘akimfoadia’ mpenzi wake kuvuja. Picha hizo zikiwemo zinazomuonesha mwanadada huyo mwenye asili ya Kiarabu akiwa amevaa nguo ya ndani tu zinapatikana mtandaoni na inadaiwa kuwa mwenyewe amejikuta akiugua ghafla baada ya kubaini ameaibika.

Monday, 10 December 2012

UDOM yaoza kwa tabia za kilaana - Wanafunzi wafumwa laivu wakisagana....

Hawa walifumwa laivu wakisagana nje ya hosteli yao............. Maadili yako wapi? Wizara husika inajua hili?