KESI YA LULU YAHAMIA MAHAKAMA KUU
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo amerudishwa rumande baada ya kusomewa kesi yake mpya ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Da…Read More
Habari njema !!!erikali Imechukua Jukumu la Kumtibu Sajuki
Serikali imechukua jukumu la kumhudumia msanii na muongozaji wa filamu Sadick Juma Kilowolo ambaye anatarajia kuondoka wiki ijayo kuelekea India kwa matibabu. Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Wilson Maku…Read More
!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????? Mke wa mtu huyo..........
Maadili yako wapi? hata kama ndio usupa star mmmmmmmmmmh hii imezidi!! unapofikia kuitwa mume au mke wa mtu kuna baadhi ya vitu inabidi kuvipunguza na kama inawezekana kuviacha kabisa..................
…Read More
0 maoni:
Post a Comment