STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kusema watu wanaovumisha kwamba ameolewa mke wa pili wakome kwani yeye ndiye wa kwanza na wa mwisho kwa mumewe aitwaye Abdallah Shakoor. Davina ambaye siku si nyingi anatarajia kumzalia mumewe huyo alisema, amesikia watu wakichonga kuwa yeye ameolewa mke wa pili kitu ambacho si cha kweli.
“Nashangaa, haya maneno nilianza kuyasikia siku ya ndoa yangu kwani wambeya wasiopenda maendeleo ya watu walivumisha kwamba eti nimeolewa mke wa nne. Naomba wakome kabisa kwani mimi ndiyo wa kwanza na wa mwisho kwa Dullah,” alisema Davina.Friday, 1 February 2013
Home »
» Davina apiga Mkwara mzito kuhusu ndoa yake ........... asema watu wakomee
Davina apiga Mkwara mzito kuhusu ndoa yake ........... asema watu wakomee
Related Posts:
She's still got it! Jennifer Lopez shows off her famous behind as she goes without a scrap of underwear in eye popping gown … Read More
????????!!!!!!… Read More
Fashion Police...........… Read More
!!!!!!!!!???????????Kwa habari zaidi soma hili gazeti hapa - http://www.globalpublishers.info/… Read More
Top 10 Most Relaxed PrisonsPrison, deriving from the Old French prisoun, is a place where those who have committed a crime are placed into physical confinement, and often lose certain personal rights. In the old days, prison was not an end in itself, a… Read More
0 maoni:
Post a Comment