Hali hii Mbagala hadi lini? Usafiri kwenye jiji hili la Bongo - Dar es salaam inaeleweka kabisa sio mzuri hasa majina ya asubuhi na jioni wakati watu wanaenda kutafuta riziki sehemu mbalimbali, ila jamani wakazi wa Mbagala wamezidi....... Na…Read More
Hizi Fashioni zitatuua....Yaani hii inaitwa nisipitwe..... aaaah baada ya kuinjoy na ulichoamua kukifanya mwisho wake inakuwa kama mateso! jamani sasa hivi viatu na hii miguu vinaendana kweli au ndio mnatafuta ugomvi na watu mtaani?…Read More
0 maoni:
Post a Comment