Showing posts with label OMG. Show all posts
Showing posts with label OMG. Show all posts

Friday, 5 December 2014

Singasinga IPTL: Mimi ni mtanzania halisi, nimezaliwa Iringa


Mmiliki wa kampuni ya PAP inayodai kuinunua IPTL anayejulikana kwa umaarufu kama 'singasinga' kutokana na asili yake ya 'kihindi' amedai kuwa amezaliwa mkoani Iringa hivyo ni mtanzania halisi.

Singasinga huyo ambaye ni Harbinder Singh Sethi aliyasema hayo jana kwa vyombo vya habarii na amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la leo.

Haya yanajiri siku chache tu baada ya bunge kumtuhumu kuwa yeye ni mgeni aliyekuja kuihujumu Tanzania. Wapo baadhi ya wabunge ambao walinukuliwa wakisema kuwa wanampongeza mtanzania mwenzao yaani Rugemarila kwa kulipa kodi huku wakimponda vikali Sethi kwa kumtaja kama mgeni mwenye nia ya kulivurufa taifa.

Friday, 5 September 2014

Picha huongea:Umejifunza nini kupitia picha hizi?


She's still gotta Work! Pregnant Kelly Rowland shows off her baby bump as she launches new designer watch line

 What time is it: The former Destiny's Child member was launching a new watch line entitled The Kelly Rowland Canteen Bracelet Special Edition

Friday, 29 August 2014

Flora Mbasha afunguka kuhusu sakata lake na Gwajima , Mahusiano yake na Mumewe...... Nina Mimba ya Mbasha sio Gwajima !!!!


Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni mke wa Emmanuel Mbasha amesema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima

Je unamjua Askofu bilionea Tanzania? Angalia baadhi ya picha za mikutano yake hapa.....

 ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe.

Friday, 15 August 2014

Mkono wa rubani wang'oka hewani


Rubani mmoja nchini Uingereza alipoteza mwelekeo angani akiendesha ndege ya biria baada ya mkono wake wa bandia kuchomoka wakati alipokua akielekea kutua.

Monday, 11 August 2014

Nyani aliyejipiga picha azua mgogoro


Mtandao wa Wikipidia umekataa kufuta picha ambayo Nyani ilijipiga ikisema kuwa kwa sababu picha hiyo ilipigwa na Nyani ambaye ni mnyama wala sio binadamu, basi inakuwa mali ya umma.
Hii ni baada ya mpiga picha, mmiliki wa kamera iliyotumika na Nyani huyo kujipiga picha, kusihi Wikipedia kufuta picha hiyo na kudai kuwa Wikipedia ilikuwa inaingilia haki zake za umiliki wa picha hiyo.

Sunday, 10 August 2014

BIASHARA CHAFU: Mwanafunzi chuo kikuu alazimishwa kurekodi picha za ngono

  • “Nilipoishiwa nguvu, yule mwanamke alitoka nje na kurudi halafu alinichoma sindano yenye dawa ambayo ilinifanya nipate nguvu tena na kuendelea. 
  • Nikapewa ratiba ya kulala na wanawake asubuhi, wavulana jioni (mashoga) na wanawake watu wenye umri mkubwa usiku.”

Nyumba ya ‘mlawiti’yateketezwa


Moshi. Wananchi wenye hasira, wameteketeza kwa moto nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Mwika Uuwo, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu kulawiti wanaume  wenzake.

Saturday, 9 August 2014

Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi


Hai. Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini hapa akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).

Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa akimpiga mfanyakazi wake huyo sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo kumvuta nyama za sehemu za siri kwa kutumia bisibisi.

Suarez huenda akapunguziwa adhabu

Friday, 8 August 2014

Sewing for gold: Indian businessman flaunts his wealth by having 4kg shirt made from precious metal... but needs bodyguards whenever he wears it

  • Pankaj Parakh commissioned the shirt that weighs more than four kilos
  • Made his fortune establishing a multi-million pound textile business in India 
 An Indian textile magnate who made a fortune from his clothing empire is making sure the rest of the world knows about his success - by having a shirt made out of pure gold

Nay wa Mitego: Kabla ya kutoka kwenye BONGO Fleva nilikuwa mwizi balaa.....


CONFESSION! Kwa mara ya kwanza staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameibuka na kuuelezea upande wa pili wa maisha yake kuwa kabla hajawa mwanamuziki alikuwa mwizi balaa!
Akizungumza na paparazi wetu ana kwa ana jijini Dar es Salaam juzi, staa huyo alikiri kupitia katika majanga kibao maishani mwake likiwemo la kulala katika vituo mbalimbali vya polisi vya jijini Dar kufuatia kufanya matukio ya uhalifu.

“Kwanza kabisa nilikuwa nalala Feri na watoto machokoraa. Nilikuwa naona ndiyo maisha japokuwa nilijua kuna maisha mengine mazuri zaidi lakini ningeyapate?

Mtoto adaiwa kuwalawiti wenzake sita Songea


Songea. Polisi mkoani Ruvuma wanamshikilia mtoto wa miaka 15 (jina limehifadhiwa), mkazi wa Makambi mjini hapa kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wenzake sita katika nyakati tofauti.

Watoto wanaodaiwa kulawitiwa na kijana huyo wana umri chini ya miaka 10.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mihayo Msikhela alisema matukio hayo yalitokea kati ya Julai 30 na Agosti 3 mwaka huu.

Thursday, 17 July 2014

Mjue Mwanamitindo aliyejichora TATTOO uso mzima ili kutafuta umaarufu

Aelezea kwa nini alikata uume wake


Je unamkumbuka mwanamuziki wa kufoka Andre Johnson ambaye alikata Uume wake mwezi Aprili na kisha kujirusha kutoka juu ya jumba moja mjini Los Angeles?
Sasa basi emetoa sababu zake akisema alikuwa na akili timamu alipokuwa anafanya hivyo.
Johnson, aliishangaza jamii ya wanamuziki wa kizazi kipya, kufuatia kitendo chake cha kukata uume wake Kaskazini mwa Hollywood mwezi Aprili. Madaktari walishindwa kunguanisha sehemu aliyoikata na sehemu nyeti ya mwili wake.

Wednesday, 9 July 2014

Mmiliki wa Lake Oil akamatwa kwa kutesa mfanyakazi wake


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni bilionea Ally Edha Awadhi ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Lake Oil ya Mikocheni jijini Dar es Salaam kutokana na madai ya kumtesa mfanyakazi wake.

Thursday, 3 July 2014

Barua kutoka kwa Mume FLORA MBASHA kwenda kwa MCHUNGAJI GWAJIMA


"Mchungaji ...yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri' wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa fedha kiasi cha milioni 9 na waumini kanisani kwako.

Tuesday, 3 June 2014

10 best- and worst-dressed at the CFDA Awards

The good

Rihanna - We’re not always 100 percent sold on Rihanna’s fashion escapades, but the singer showed up to accept Style Icon of the Year looking the closest to that she ever has. The “fabric” involved came courtesy of designer Adam Selman. Everything else was all Robyn Rihanna Fenty.

Kuna Ukweli wowote katika hili?Tabia ya Waandishi wa habari kuwa-blackmail watu mitaani?

Imezuka tabia chafu miongoni mwa waandishi wa habari ya kuwa-blackmail watu mitaani. Juzijuzi mwandishi mmoja (jina nalihifadhi kwa sasa) alitaka apewe Shilingi milioni 2 na ndugu yangu ili asiandike habari zake alizodai ni ‘mbaya’. Mwandishi huyu mshenzi alijitambulisha kuwa anatoka kwenye gazeti ambalo mhariri wake ni rafiki yangu. Nilipompigia simu mhariri na kumuuliza iwapo ana mwandishi anayeenda kwa jina hilo alisema huyo huwa anachangia tu makala kwenye gazeti lake na sio mwajiriwa. Alishangaa sana nilipomueleza kisa kizima, na alishauri tumuwekee mtego. Ana bahati sana mshenzi huyu! Nimeambiwa wapo waandishi wa habari wengi ‘feki’ wanaojihusha na mchezo huu mchafu. Nasema ole wao! Nafanya mawasiliano na Jukwaa la Wahariri na Baraza la Habari Tanzania (MCT) ili, pamoja na mambo mengine ya kusimamiaa taaluma, waweze pia ku-deal na washenzi wa aina hii wanaochafua sifa nzuri ya wanahabari.

Uncle .FK Dar es salaam