Friday, 8 February 2013

Hatimaye msanii MATUMAINI atua bongo





MSANII wa vichekesho ambaye alikuwa nchini Msumbiji, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ jana alipokelewa na wasanii wenzake kibao baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar akiwa hoi kutokana na kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Matumaini alitua uwanjani hapo jana majira ya saa 9:30 alasiri ambapo kutokana na hali yake kuwa mbaya wasanii walimbeba mgongoni na kumfikisha kwenye gari ambapo walimpeleka moja kwa moja hospitali ya Amana alikolazwa mpaka sasa akiendelea kupatiwa matibabu.

Kwa hisani ya GLP

Related Posts:

  • UJIO WA OBAMA KUFURU UJIO wa Rais wa Marekani, Barack Obama ni kufuru tupu, kiasi cha fedha ambacho kinachotumika kugharamia ziara yake peke yake kinazidi mara mbili ya kile kilichoteketea pale mtangulizi wake, George W. Bush, alipotembelea n… Read More
  • Zitto Kabwe afunguka kuhusu fununu za yeye kuanzisha chama kipya cha siasa Baada ya kusambaa kwa habari ya Zitto Kabwe kutaka kuanzisha chama kipya cha siasa, kupitia mitandao ya jamii mbalimbali Zitto mwenyewe afunguka na kusema ..... "Kwanza, Sina mpango wa kuanzisha chama cha siasa. Mimi n… Read More
  • Mrisho Ngassa aililia TFF MSHAMBULIAJI Mrisho Ngassa amesema yeye ni mchezaji halali wa Yanga na siyo Simba. Ngassa alikuwa mchezaji wa kwanza kutangazwa kwenye usajili wa Yanga msimu huu akitokea kwenye kikosi cha Simba ambacho alikuwa akiki… Read More
  • Ni kipi kinawapa ujeuri wabunge wa CHADEMA? Wadau! Katika historia ya nchi yetu Tanzania, hatukuwahi kupata wabunge wa upinzani wajeuri kama hawa tulionao sasa! Kwa mantiki hiyo hiyo ya ujeuri, wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakitumia lugha za matusi na zisizo za s… Read More
  • NATASHA afundwa? HUKU siku za kufunga ndoa zikihesabika, mkongwe kwenye filamu za Kibongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amefanyiwa sherehe ya kufundwa kabla ya kwenda kwa mumewe ambayo huko mitaani inajulikana zaidi kwa jina la singo. Shugh… Read More

0 maoni: