Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya almaarufu kama Bob Junior ambae pia ni mtayarishaji wa muziki amefunguka kuhusiana na sababu ya yeye kuweza kuchukua uamuzi wa kuoa mapema. Mr. Chocolate Flavour alifunguka na kusema kuwa sababu iliyomfanya kuchukua uamuzi huo wa kuoa ili aweze kujenga maisha yake na pia kupunguza idadi ya marafiki wasio na umuhimu katika maisha yake na kusema kuwa rafiki yake wa ukweli kwa sasa ni mke wake tu kwani ndiye anayeweza kumshauri vitu vizuri.
Bob alisema kabla hajaoa alikuwa anaishi maisha ambayo ni hatarishi, kushinda vijiweni na kuwa na marafiki wengi ambao walikuwa ni hatarishi katika maisha yake. Mbali na hayo mwanamuziki huyo aliongeza kwa kusema kuwa ameoa mapema kwasababu yeye ni mtoto wa kiislamu na amelelewa katika maadili ya dini hivyo sheria ya dini inamruhusu mtoto wa kiume kuoa pindi anapobalehe.
Related Posts:
Mrisho Ngassa aililia TFF
MSHAMBULIAJI Mrisho Ngassa amesema yeye ni mchezaji halali wa Yanga na siyo Simba. Ngassa alikuwa mchezaji wa kwanza kutangazwa kwenye usajili wa Yanga msimu huu akitokea kwenye kikosi cha Simba ambacho alikuwa akiki… Read More
UJIO WA OBAMA KUFURU
UJIO wa Rais wa Marekani, Barack Obama ni kufuru tupu, kiasi cha fedha ambacho kinachotumika kugharamia ziara yake peke yake kinazidi mara mbili ya kile kilichoteketea pale mtangulizi wake, George W. Bush, alipotembelea n… Read More
Mwanawe Museveni asema hana uchu wa madaraka
Brigedia Muhoozi Kainerugaba, (wa pili kulia ) akiwa na babake rais Museveni wakati wa sherehe ya kufuzu kwake katika chuo cha mafunzo ya kijeshi nchini Marekani.
Mwanawe rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekanusha madai … Read More
Mzee Mandela afanyiwa maombi maalum
Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana mjini Cape Town, Afrika Kusini, Thabo Makgoba, amejitolea kufanya maombi kwa niaba ya rais mstaafu Nelson Mandela ambaye anaugua sana hospitalini. Kasisi huyo anamuombea Mandela a… Read More
Picha za mtoto wa Kim Kardashian na KanyeWest ...... North West navuja mtandaoni?
Kujua story nzima fungua hapa - Picha za mtoto wa Kanye na Kim
… Read More
0 maoni:
Post a Comment