Monday 20 May 2013

Msanii wa ZE COMEDY afanya uchafu beach

MSANII memba wa Kundi la Ze Comedy linaloruka kupitia Runinga ya East Africa, Master Face amenaswa akifanya uchafu wa kushikana ‘kimalovee’ na msanii mwenzake aitwaye Happy ambaye alikuwa ametinga kivazi cha nusu utupu.

Kwa mujibu wa chanzo makini, wasanii hao walikuwa wakirekodi filamu katika ‘bichi’ ya Chadibwa iliyopo maeneo ya Kigamboni, jijini Dar ndipo walipopitiliza na kuanza kufanya madudu hayo ambayo hayakuwepo kwenye muswada wa filamu hiyo. Baada ya picha hizo kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii, paparazi wetu alifanya jitihada za kuwatafuta wawili hao lakini kwa bahati mbaya simu zao ziliita bila kupokelewa.

Angalia picha zaidi hapa chini




Kwa hisani ya GLP

0 maoni: