Tuesday 21 May 2013

Kipigo cha SIMBA chamlaza na njaa Afande SELE siku mbili!!



Kweli ushabiki mbaya .... dawati letu la udaku limebaini kuwa Msanii maarufu Afande  Selemani ama Afande Sele au Baba Tunda amekuwa mmoja wa Shabiki mkubwa wa Simba  ambaye ameshindwa kuvumilia kipigo cha Simba  na kugoma kula kwa siku mbili mfululizo...... 
Akizungumza na Suddy Brown katika U Heard kupitia XXL ya Clouds FM, mke wa rapper huyo mkongwe Mama Tunda, amethibitisha kuwa mumewe amegoma kula toka siku ya mechi.pole sana Afande Sele...!!!!!

0 maoni: