Monday 15 April 2013

Mr. Bean wa Tanzania




Anaitwa kinyambe, kwa wafuatiliaji wa bongo comedy watakubali kuwa huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani,hatumii nguvu wala halazimishi kuchekesha,ukimwona tu hata kabla hajongea lazima ucheke. kwa kufuatilia kipaji chake jaribu kufuatilia  kipindi cha vituko show cha channel ten

0 maoni: