Tuesday, 11 December 2012

Mpenzi mpya wa Wolper hadharani.........................

Pamoja na kumfichaficha sanaaa  hatimaje Wolper amweka wazi mpenzi wake mpya... na hii ilitokea siku ya birthdays ya mdada huyo iliyofanyika kwa mashamsham na mbwembwe kibao   kwenye ukumbi wa Synergy Lounge, Oysterbay, Dar es Salaam!!!!!!!!Wambeya wa mji tulidokezwa kuwa Mdada - Wolper alimtambulisha mpenzi wake  huyo mpya kwa wageni waalikwa ambao wengi wao walikuwa ndugu, jamaa na marafiki! cha ajabu na kushangaza Wolper alikataa kutaja jina la mpenzi wake huyo na zaidi ya hayo  akaomba mpenzi wake asipigwe picha hata ya kwenye simu na akisisitiza kuwa wana maana kubwa katika kufanya hivyo............... Ila kama unavyojua wabongo kwa udaku wakaogopa kumpiga kwa mbele  wakafanikiwa kumpiga nyuma.


Related Posts:

  • Namfuata MWISHO Namibia LICHA ya Mwisho Mwampamba kuwa mume wa ndoa wa Meryl Shikwambane, msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha amesema anajiandaa kwenda nchini Namibia wanapoishi wanandoa hao kwa lengo la kujumuika na Mwisho na kula ba… Read More
  • SHARUWA atoa waosia kwa Mastaa wa Kibongo KWENU, Wasanii mnaong’aa katika sanaa mbalimbali nchini. Ninafurahi kuwasiliana nanyi tena kwa wakati mmoja baada ya kuachana muda mrefu uliopita. Naamini mpo sawa na michakato ya kusaka mkate wa kila siku inaendelea vy… Read More
  • Je kuna ukweli wowot katika hili? Kwa mujibu wa blog ya HassyBabby (Mapacha) imefahamika kuwa huyu ndie msanii anayevaa kuliko wasanii wote bongo anaitwa JUX, je ni kweli? … Read More
  • LADY JAYDEE Vs Clouds MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, juzi Jumatatu hatimaye yalimkuta baada ya kuibua simanzi nzito katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar, alipofikishwa baada ya kufunguliwa kesi ya madai namba 29/2013 na mabos… Read More
  • Angelina Jolie akatwa matiti kuzuia Saratani Mcheza filamu mashuhuri sana duniani,Angelina Jolie(pichani) amesema kwamba amekatwa matiti yake yote pamoja na kuondoa mfuko wake wa uzazi. Kwenye taarifa aliyoandika kwenye gazeti la New York Times, Bi Jolie amesem… Read More

0 maoni: