Jamani hivi vitu tuwe tunaangalia kabla hata hatujafanya! wenzetu walioendelea wanakuwa na watu wao wa kuwashauri baadhi ya mambo hata kama si makubwa basi madogo madogo kama haya ambayo yanaweza kuleta mushkeli mtaani.... haya angalia huyu kaka mwenye joho jeupe si Mtumishi wa Mungu huyu?haya angalia na huu mkorogo alioupaka unafanana nae kweli? Jamani kama kuna mtu anamjua naomba amvute pembeni na ampe darasa... kazi yake na mapodozi haya havihusiani kabisa.... binafsi nasema sitaki na kama ningeweza kumpata nimemchana laivu... kama alitaka mambo haya ya mkorogo basi haya ya kuvaa joho angeyaacha , asituchanganyie habari kabisa
0 maoni:
Post a Comment