Monday, 3 December 2012

Karibuni mkekani....

Ni wakati mwingine tena wa mimi na wewe kujuana, kuelimishana na  kujuzana yale yote yanayotakiwa kujulikana . Najua wajua lakini najua hujui kila kila na si yote unayoyajua..... nikiwa kama rafiki yako nambari moja nakukaribisha jamvini ili ukaribie na tujuzane..... Jamvi hili litawaletea yale yote ambayo ni muhimu na yale yote yanayotakiwa tuyajadili na yalete mabadiliko na muafaka  kiufupi ni jamvi la  yote yaliyo ya moto  mjini wajanja wanasema Hot in Town....... na pia jamvi hili tulitumie kama jamvi la kukalishana na kurekebishana...
Karibuni sana......

0 maoni: