
Rais wa Masharobaro aka BOB JUNIOR (pichani) amekuwa mtu wa furaha toka jana baada ya my wife wake kujifungua mtoto wa kiume na kumfanya aheshimike na kuitwa baba.... Inasemekana Bob Junior kaamua kumpa mtoto huyo jina la baba yake mzazi Rummy Raheem Rummy a.k.a Triple R.
0 maoni:
Post a Comment