Hivi sasa mambo yote ni kwenye Instagram... Wema Sepetu huu mwaka wake kila siku anaibuka na jipya! baada ya kumuonesha mtoto wake wa kwanza(Vanny) sasa kaja na lingine .................... Gari ya ukweli aina ya Audi Q7 inayokisiwa kugharimu zaidi ya milioni 70 za kitanzania! Hivi karibuni Wema amelinadi gari lake hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuiita "My baby da beach" inasemekana kuwa hata Meneja wake Martin Kadinda kalifagilia sana hilo gari kiasi cha kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa 'maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi…
Tuesday, 22 January 2013
Home »
Celebrities News
» Wema Sepetu full vituko ... baada ya kununua gari asema Mnaonichukia kazi mnayo!
Wema Sepetu full vituko ... baada ya kununua gari asema Mnaonichukia kazi mnayo!
Categories: Celebrities News
Related Posts:
MAMA SHARO... aambulia patupu kwenye akaunti ya mwanaye Maskini! Mama mzazi wa aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na muziki Bongo, Marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufunga safari kutoka Tanga hadi Dar kwa ajili ya kushughuliki… Read More
SHARUWA atoa waosia kwa Mastaa wa Kibongo KWENU, Wasanii mnaong’aa katika sanaa mbalimbali nchini. Ninafurahi kuwasiliana nanyi tena kwa wakati mmoja baada ya kuachana muda mrefu uliopita. Naamini mpo sawa na michakato ya kusaka mkate wa kila siku inaendelea vy… Read More
Mpenzi ndani ya penzi jipya? Fungua hapa usome habari kamili -GLP … Read More
Ukahaba waligusa BUNGE BIASHARA ya ukahaba imeligusa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani Jumanne iliyopita takribani dakika nane zilitumika kuijadili inavyoshamiri na namna ya kuitokomeza. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Kundi la Vij… Read More
Haya kivazi hicho..... kazi kwenu … Read More
1 maoni:
hongera dada mtu afaliwa na chake ila binadamu shida ukipata watakusema na ukikosa watakusema ila mungu ndio kila kitu
Post a Comment