TIMU ya Simba SC jana imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma Kaseja. Simba SC kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Pop, umetangaza kuachana na kipa huyo ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars.
Kaseja ambaye ameipatia mafanikio mengi Simba amemaliza mkataba wake na timu yake hiyo ambayo imemwambia yupo huru kutafuta timu nyingine.
Kwa hisani ya GPL
Related Posts:
Mike Tyson 'returns Evander Holyfield's ear' 16 years after infamous bite fight in Foot Locker commercial
Making amends: The Footlocker commercial sees Mike Tyson return Evander Holyfield's ear with a remorseful look on his face
Surprise visit: Evander looks lost for words when he sees Tyson turning up at his door
… Read More
Rice agundulika kuwa na saratani
Mchezaji wa zamani wa timu ya Ireland kaskazini na mlinzi wa zamani wa Arsenal Pat Rice amefikishwa hospitalini baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Rice mwenye umri wa miaka 64 aliichezea mara 528 timu ya w… Read More
MTOTO wa kwanza wa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amelazwa mahututi katika hospitali iliyoelezwa kuwa katika Mji wa Atlanta nchini Marekani. Taarifa za kulazwa kwa mtoto huyo wa kwanza wa Rage ambaye jina … Read More
KASEJA atua YANGA
Mlinda mlango nambari moja nchini Tanzania kwa kipindi kisichopungua miaka 10 mfululizo Juma Kaseja Juma jana majira ya saa 2 usiku alisaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Young Africans yenye makao yake Twiga/Jangwani kwa… Read More
Ally Badru na Awadhi Issa watua Msimbazi
Wazee wa Msimbazi , Simba Sports Club jana imewasajili wachezaji wawili toka Mtibwa Sugar na Canal suez ya Misri........ Habari zilizotufikia wadaku wa mji zinasema wachezaji hao ni Awadh Issa wa Mtibwa Sugar n… Read More
0 maoni:
Post a Comment