Monday 18 November 2013

Ally Badru na Awadhi Issa watua Msimbazi

Wazee wa Msimbazi , Simba Sports Club  jana imewasajili wachezaji wawili  toka Mtibwa Sugar na Canal suez ya Misri........ Habari zilizotufikia wadaku wa mji zinasema wachezaji hao ni Awadh Issa wa Mtibwa Sugar na Ally Badru kutoka Canal Suez ya Ligi Kuu ya Misri!

.........................Stay tune.........................

0 maoni: