Friday 14 June 2013

Zitto Kabwe ndani ya "The Finest" na Sugu sambamba na Anaconda...



Wakati jiji la Dar es salaam likiwa na homa ya shows mbili kubwa na muhimu zitazofanyika siku moja, Wanasiasa Maarufu Vijana Zitto Kabwe na Joseph Mbillinyi aka Sugu wamejipanga  kuhudhuria show hizo. Habari zilizotufikia wanakitaa zimetujuza kuwa katika lushow love  kwa Wasanii Zitto Kabwe atakuwa mgeni rasmi wa show ya "The Finest" wakati Sugu atakuwa sambamba na  Jide aka Anaconda.

Imefahamika pia katika onyesho hilo MwanaFA  atapiga nyimbo zake zote Live akiwa na bendi kongwe na maarufu  ya WANANJENJE!

0 maoni: