Tuesday 16 April 2013

Chezea Mapenzi wewe!!!!!" PENNY amsamehe DIAMOND ....... akiri mambo shwari sasa

Kutokana na skendo ya hivi karibuni   kati ya Diamond ya Uwoya kufumwa na kamera za GLP wakienda kufanya yao , Penniel Mungilwa(pichani) ambaye ni mpenzi wa sasa na Baby mama  wa Diamond ameibuka na kusema nimemsamehe Diamond ingawa kalisaliti na Uwoya  tumeshaongea na mambo yako shwari......


Magazeti pendwa  nchini yaliandika habari hiyo ikiwa na picha inazowaonesha mastaa hao wakichukua chumba kwenye hoteli ambako  walienda kula raha.


Mapenzi au pesa ..............................

0 maoni: