Wednesday 19 December 2012

Hii ni hamu au ugonjwa? ........ nisaidieni

Jamani mimi na mpenzi wangu tupo pamoja kama  mwaka na nusu sasa, na tumeanza kufanya ngono kama  miezi nane hivi  lakini cha ajabu mwenzangu naona ananizidi nguvu ! manake naona kama nyege zimezidi  tulianza na ratiba ya kusex mara moja kwa wiki ,  baadae akadai anataka mara tatu kwa wiki na tunafanya hivyo lakini mwenzenu naona kama nashindwa maana nisipomfikisha mara tatu au nne halali na mimi nakuwa nimechoka , nimepima uzito nimepungua kwa sababu yake, nilikua naenda gym imebidi niache maana nachoka sana na kukosa nguvu wakati wa mazoezi, wadau wa Hot n Town naembeni msaada nimfanyeje huyu mpenzi wangu, nina mpango wa kumuoa lakini nishaanza kumuogopa.

Uncle  J Dar

0 maoni: