Friday, 1 February 2013

Zifahamu vyema Lugha za Mwili katika Mapenzi


Pengine hii inawahusu walio katika ndoa na ambao bado!Ni zipi hasa lugha za mwili katika mapenzi?! Hapa nnazungumizia ishara, milio au sauti fulani ambazo ukisikia au kuona kutoka kwa mwenza wako inakupasa uchukua hatua stahili kulingana na mzingira husika. Kwa wale ambao tupo katika ndoa naimani unanafasi nzuri ya kumsoma mwenza wako na kuweza kugundua anahitaji au anamaanisha nini akiwa hivyo.
Kuna baadhi ya wanawake huwa hawawezi kuwaambia waume zao kwamba wanawahitaji kimapenzi, badala yake huweza kujitegesha au kujirahisi mbele zao, kwani wanajua kuwafanyia hivyo kutaamsha hamu kwa waume zao na hatimaye kuipata starehe hiyo pamoja. Mume yakupasa uwe unausoma mchezo mapema kwani si wanawake wote wataweza sema au kujitegesha na ndio maana tunasisitiza isipite wiki bila kupeana na mwenza wako.

Pia wanawake nawashauri wawe "wachokozi" kidogo maana kuna wanaume huwa hawaanzi mashambulizi mpaka washambuliwe, kama hali ipo hivyo basi mwanamke inabidi ndo uwe mpangaji mashambulizi ya awali.

Mwisho niwaambie Mke na Mume, kama inavyowapasa kujua sehemu za mihemuko baina yenu, inawapasa pia muelewe lugha za miili yenu. Miili inaongea bwanaa, ipeni nafasi!!

Related Posts:

  • AgnesJerald 'MASOGANGE' akamatwa na madawa ya kulevya Afrika ya Kusini Wote ni Watanzania,walianzia safari Dar,washikiliwa Afrika Kusini Wanawake wawili raia wa Tanzania wametambuliwa kuwa ndiyo wanaodaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8 n… Read More
  • PICHA YA SHARO YAMKOSESHA USINGIZI AMANDA PICHA ambayo staa wa filamu Bongo, Tamrina Mohammed Poshi  ‘Amanda’ aliyoipiga na marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ inamkosesha usingizi kila akiitazama.Akizungumza Risasi hivi karibuni, Amanda alisema picha h… Read More
  • Dida apigwa dongo BAADA ya hivi karibuni Mtangazaji wa Radio Times, Khadija Shaibu ‘Dida’ kufunga ndoa na mwanaume aitwaye Ezden, mashosti zake wamemtaka kutulia sasa na asijaribu kugeuza ndoa kuwa fasheni. Wakizungumza na Ijumaa kwa… Read More
  • NGASSA akata Mzizi wa Fitina...... atua Mazoezini Yanga HATIMAYE kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa (pichani), amekata mzizi wa fitna baada ya kuanza kujifua rasmi na timu hiyo, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu asajiliwe. Awali kulikuwa na utata wa mchezaji huy… Read More
  • Wema Sepetu matatani tena? DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe, Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hotelini, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga makofi meneja wa h… Read More

0 maoni: