Home »
Celebrities News
» Mama Sharo Milionea afunguka ...Gari naliuza na Mimba ya Marry siitambui..
MAMA wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu Bongo, Hussein Ramadhan Mkieti ‘Sharo Milionea’ amefunguka na kuweka kila kitu bayana kuhusu gari aliloacha mwanaye pamoja na mimba ambayo inadaiwa ni yake.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Mama Sharo alisema: “Kuhusu gari lile Toyota Opa aliloacha marehemu mwanangu naliuza kwani siwezi kuliendesha na haliwezi kukaa bila kufanya kazi yoyote.
“Kwa upande wa Marry Lucas wa Sumbawanga msichana aliyejitokeza baada ya Sharo kufariki na kusema ana ujauzito wake, siwezi kumtambua kwa sababu enzi za uhai Sharo hakuniambia kuwa ana mchumba wala mpenzi.” Baada ya kifo cha Sharo siku chache baadaye, Marry aliibuka na kudai alikuwa mpenzi wa Sharo na ana ujauzito wake.
Related Posts:
Mali ya hayati Mandela yatangazwa
Hayati Nelson Mandela, aliachia familia yake mali yake yenye thamani ya dola milioni 4.1. Sehemu ya mali hiyo pia itatolewa kwa chama tawala ANC, wafanyakazi wake wa zamani na shule kadhaa ambako alisomea. Hayo n… Read More
Bongo vituko daily!!!!!! WEMA: NIKIFA NIAGWE UWANJA WA TAIFA
Kazi ipo! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar, Ijumaa Wikienda limemtegea sikio. Miss Tanzania&… Read More
'I'm finally happy!': Whitney Houston's daughter Bobbi Kristina and new husband Nick Gordon kiss in Georgia... just before 2 year anniversary of singer's death
Sealed with a kiss: Whitney Houston's daughter Bobbi Kristina and her husband Nick Gordon, who married a month ago, showed off their love for each other in Atlanta, Georgia
Talented DNA: Bobbi Kristina is not only the … Read More
EXCLUSIVE: Diddy denies proposing to girlfriend Cassie after flashing a large diamond engagement ring on Instagram and asking if she liked it
This is not an engagement ring: Diddy denies to MailOnline he popped the question to girlfriend Cassie when he posted a photo of this rock to his Instagram account Saturday
A hoax?: The mogul posted this message two … Read More
Makubwa!!!!!KUMBE MZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME TATA!
Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata. Kikiz… Read More
0 maoni:
Post a Comment