Saturday, 8 December 2012

Umaarufu kazi ...........



Mmmmm haya mambo mengine  kiukweli hata hayakuaga utamaduni wetu ila sasa hivi imekuwa kama lazima... tuongee ukweli haya mambo ya kufanya sherehe za kuzaliwa eti birthday party  yalikuwepo? au ndio kuiga tu? Nasikia hivi karibuni Jackline Wolper alifanya sherehe kubwa  ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake?  siwezi kuingilia maisha ya mtu binafsi ila tuangalie  na uhalisia hiyo hela angeweza kabisa  kufanyia kumbukumbu ya siku hiyo kwenye vituo vya wazee au  vya kulelea watoto au hata hospitali .....

0 maoni: