Monday, 20 January 2014

DIVA, B 12, MCHOMVU warudishwa kazini?

WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha. Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.

Kwa hisani ya GPL

Related Posts:

  • Mtandao wa wauza unga wanaswa MTANDAO hatari wa unga nchini Tanzania umeshanaswa, kwa sasa unafanyiwa kazi kwa kasi na Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya, chini ya kamanda wake, Godfrey Nzowa. Habari njema kuhusu kunaswa kwa… Read More
  • Sakata la Madawa ya kulevya ...Mama mzazi wa Bint KIZIWI afunguka HATIMAYE mama mzazi wa Sandra Khan maarufu Binti Kiziwi, amefunguka kuhusu madai kwamba mwanaye amenyongwa nchini Hong Kong baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya. Mama huyo aitwaye Rehema Selemani mkazi wa Sinza K… Read More
  • Yanga wamuongezea adhabu Mrisho Ngassa? IMEFAHAMIKA kuwa Klabu ya Yanga, ndiyo iliyochangia ukubwa wa adhabu aliyopewa kiungo wake mshambuliaji Mrisho Ngassa, Championi Ijumaa limebaini. Taarifa hiyo inakuja wakati ambao Ngassa amefungiwa kucheza mechi sit… Read More
  • Madawa ya Kulevya yamfilisi AISHA MADINDA WIMBI la uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya limeshika kasi hivi sasa kwa wasanii na watu mbalimbali huku Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe akilivalia njuga kulikomesha.Wakati hayo yakiendelea, mnenguaji aliyetik… Read More
  • Familia ya MASOGANGE yamwachia MUNGU FAMILIA ya Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ inadaiwa kumwachia Mungu ishu ya binti huyo kukamatwa na madawa ya kulevya Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa ndugu mmoja wa familia … Read More

0 maoni: