Wanajamvi,
Juzi tarehe 13/11/2013 mida ya saa tano usiku, nilipigiwa simu kwa namba +4915739568962 nikaambiwa nikae tayari kwa kifo wakati wowote, Mtu huyo akaendelea kusema najifanya mjuaji Sana, nimwambie alinilia nini? Aliongea mengi lakini mwisho akamalizia kwakusema, nitakuonyesha kuwa mimi natoka Kigoma.
Kwahekima kabisa mimi nilipuuzia madai hayo hasa baada ya mwanasheria wangu kunishauri nipuuze,
Lakini Leo majira ya alasiri nimepokea barua pepe kutoka kwa msemaukweli868@gmail.com
yenye madai yanayofanana na ya juzi kwenye simu juzi, na Leo ikasisitizwa kuwa ananipa saa 48 za kutenganisha uhai wangu,
Baada ya hapo familia yangu na mwanasheria wakashauri tufungue kesi polisi,
Tumefungua polisi kesi kwa KGD/RB/9833/2013
Mimi kama mlalamikaji nimeulizwa kuwa nani ninaemuhisi kwa tukio hili? Nikajibu Ni Zitto Zuber Kabwe.
hivyo maelezo polisi yamesimama hivyo,
Taratibu za kipolisi zinaendelea
Nashukuru jeshi la polisi Dar hasa mkoa WA kipolisi Temeke,
Nataka kesi hii iwe mfano kwa wanasiasa wanaotumia nafasi zao za kisiasa kutishia na kudhuru raia wasio na dh
Related Posts:
Full aibu PADRE afumwa laivu na mke wa mtu gesti
KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lina sakata zima.&… Read More
Mke wa mtu sumu
NI kweli mke wa mtu sumu! Lakini hata mume wa mtu naye sumu! Katika Gazeti la Uwazi ambalo ni ndugu damu mmoja na hili, toleo la 786, Aprili 16-22, 2013 ukurasa wa mbele kulikuwa na habari kubwa; MHESHIMIWA AUMBUKA!
Ka… Read More
'Lol these people are cooked:' Boston bomber's chilling tweet sent just hours after the deadly attack
Cold-hearted: Dzhokhar Tsarnaev, 19, tweeted hours after the Boston Marathon attacks, joking about the fate of the victims
The surviving suspect accused of the Boston Marathon bombings tweeted in the aftermath of the … Read More
Shilole aimbishwa na msanii wa Koffi Olomide?
Mmmmmmh Mwisho wake sijui ilikuwaje?
… Read More
Fulll aibu....Mfanyabiashara abambwa laivu gesti na mwanafunzi
Mfanyabiashara ‘alwatani’ Bongo, mkazi wa jijini Dar, Allain Tajiri amekumbwa na skendo nzito baada ya kufumaniwa na mwanafunzi wa sekondari wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16. Tukio hilo la kusikitisha lilit… Read More
0 maoni:
Post a Comment