Pamoja na kuandika haya "I REAL LOVE MY PENNY,SINA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WEMA"
Anauambiaje umma kuhusu hili?
Picha ya WEMA akiwa amevaa viatu vinavyohiwa vya Diamond (Kulia)
Inawezekama kabisa kuwa media zinaingilia uhuru wake ila kiukweli kabisa yeye akiwa kama Msanii ambaye ni kioo cha jamii kuna baadhi ya vitu
inabidi afikirie mara mbili kabla hayavifanya........
inachekesha sana anapotaka kuwafool watu kwa kauli zake
bila kuangalia mwenendo wake......... sio mbaya akikaa chini na kufikiria kama WEMA au PENNY wangekuwa dada zake angefurahishwa na yale yote anayowafanyia?Sio mbaya akiwa muungwana na kubadilika kwani hayachelewa.....
watu wengi wanapenda vizuri hawapendi vibaya na wala asisahau kuwa waliomuweka juu ni wapenzi wake kwa mazuri yake ila sidhani kama wanaweza kumuweka juu kwa mabaya yake..... akumbuke alikotoka na asisahau anakokwenda
0 maoni:
Post a Comment