Friday, 19 April 2013

Aunt Ezekiel awaumbua WABUNGE...

DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameinua kinywa chake na kudai kwamba kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakimtongoza kwa nia ya kupata penzi kwake, Amani linasimulia aliyoyasema. Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema waheshimiwa hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa usumbufu mkubwa na kutoa ahadi balimbali, ndogo na kubwa kitendo ambacho anaamini kinaweza kuhatarisha ndoa yake.


“Mimi nawashangaa sana baadhi ya waheshimiwa, wanajua tayari nimeolewa lakini wananitongoza, mimi siwezi,” alisema Aunt bila kuwataja majina wazito hao Akaongeza: “Mume wangu akisikia napata usumbufu kutoka kwa watu wazito, hawezi kuwa na amani, bado naipenda ndoa yangu na kuachana na Sunday wangu ni ndoto.”

 Mwishoni mwa mwaka jana, Aunt alifunga ndoa na mfanyabiashara Sunday Dimonte, Dubai na mpaka sasa wanaishi kama mke na mume.


Kwa hisani ya - GLP

Related Posts:

  • She is back! Kim Kardashianback on track... … Read More
  • DIVA aachana na PREZZO? Haya ni maneno ya DIVA kupitia ukuras wake wa jamii...... "Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page. That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact… Read More
  • Wabotswana wameshamchoka FEZA KESI? When is Feza going Home to Capitalise on BBA fame? I am not asking this question because I am an ‘Oneza’ hater, as some may infer. I am asking because deep down as a (business) woman, I wish for her to prosper. Feza emerge… Read More
  • Mchezo umechezwa kwenye hukumu ya MASOGANGE? VIDEO Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ na shosti yake, Melissa Edward wapo huru kufuatia kesi iliyokuwa ikisikilizwa nchini Afrika Kusini ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Crystal Methamphetamine ya Sh… Read More
  • Umeona kiatu hicho? Read More

0 maoni: