Wednesday, 21 August 2013

Picha za Uchi zamtokea puani



Mrembo huyo aliyeshiriki Shindano la Miss Utalii 2013, Fathiya Khalfan amepigwa na mchumba’ke huyo anayeishi naye maeneo ya Buza jijini Dar (jina halikupatikana) hadi kuponea chupuchupu kupoteza uhai. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa miss huyo, mchumba’ke amedai kuwa kitendo chake cha kupiga picha hizo kimewadhalilisha wote wawili.



Hata hivyo, haijajulikana kama uhusiano wa wawili hao unaendelea kuwa hai au umeishia hapo. Risasi Mchanganyiko limefanya jitihada za kumsaka miss huyo ambaye anadaiwa kuendelea vizuri ili kupata ukweli zaidi lakini mara kwa mara amekuwa akipiga chenga.


Kwa hisani ya GPL

Related Posts:

  • Mtaa wa ngono wafumuliwa.... NI hakika ‘mtaa wa ngono’ umefumuliwa! Sakata hilo lilijiri saa tisa usiku, Ijumaa iliyopita, Barabara ya Shekilango, kuanzia Bamaga hadi Sinza Mori jijini Dar eneo ambalo makahaba wameligeuza chumbani, Operesheni Fichua M… Read More
  • Achezea kichapo kwa kufanya mapenzi karibu na Msikiti........... KHAAA! Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’ iliyo chini ya Global Publishes, ipo mzigoni na hivi karibuni imenasa tukio la aina yake ambapo mke wa mtu amechezea kichapo ‘hevi’ akidaiwa kufanya ukahaba jirani na msikiti, Risasi Mc… Read More
  • Baada ya Diamond kufichua siri...........Uwoya amwaga machozi KUFUATIA habari iliyoripotiwa na gazeti tumbo moja na hili, Amani wiki iliyopita, ikiwa na kichwa cha ‘DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!’, mwigizaji Irene Uwoya amemfungukia mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnu… Read More
  • Shilole kaiba simu za Diamond? TAA wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameingia matatani akidaiwa kuingia mitini na simu tatu za mkononi alizoaminiwa nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kufanya shoo.Msanii huyo alikumbwa na kas… Read More
  • Mrembo afukuzwa jukwaani kwa kuvaa nusu uchi...... MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba- pichani (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa li… Read More

0 maoni: