Wednesday, 20 February 2013

Baada ya kutoka CHADEMA na Kuhamia CCM Juliana Shonza aanza kumlipua Mbowe!

Freeman Bowe

Juliana Shonza 

Katika hali isiyotarajiwa hivi karibuni akiwa katika mahojiano na Radio Uhuru FM aliyewahi kuwa kiongozi wa juu wa Vijana chama cha CHADEMA ambaye kajiunga na CCM Juliana Shonza  alisema kuwa  "Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne)akimaanisha elimu ndogo kupita wote, hakuishia hapo Juliana Shonza alionyeshwa kushangazwa wakati wa mahojiano  na kusema kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

!!!!!!!!!!?????????

Related Posts:

  • LEMA atoa mkwara mzito, asema atamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani.... Akizungumza na waandishi wa habari hii jana katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho katika simu yake ya mkononi. … Read More
  • Dhamana ya LWAKATARE yashindikana? Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili. Hivyo basi mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kupiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 mwezi hu… Read More
  • Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Omar Kinana, kupitia kwa wanasheria wa LAW OFFICES OF ERIC S. NG'MARYO wa Moshi amemuandikia Mbunge wa Iringa Ndugu Peter Msigwa agizo la kumtaka amuombe radhi kwa matamshi ambayo kina… Read More
  • Ukahaba waligusa BUNGE BIASHARA ya ukahaba imeligusa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani Jumanne iliyopita takribani dakika nane zilitumika kuijadili inavyoshamiri na namna ya kuitokomeza. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Kundi la Vij… Read More
  • LEMA abaka? BINTI mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo (pichani) anamtuhumu mbunge mmoja ‘mtata’ wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloongozwa na Spika Anne Makinda (jina tunalo) kuwa amembaka, Uwazi lina kisa cha aibu ya … Read More

0 maoni: