Wednesday 23 January 2013

Zijue sifa 10 zinazosababisha Mwanamke ampende mwanaume...

Kiuhalisia ipo hivi, kila mtu ana vitu vyake au mambo yake anayoyahitaji au kuyatarajia toka kwa mpenzi wake  lakini  kuna mambo fulanifulani yanaonekana kupendwa na watu wengi, hizi ni baadhi ya sifa 10 muhimu ambazo wanawake wengi wanatamani au kutarajia kuziona kwa wapenzi wao.
1. Heshima
2. Mcheshi
3. Makini
4. Jasiri
5. Mchapakazi
6. Mwenye huruma
7. Muwazi na Mkweli
8.Mwenye moyo wa kusaidia
9. Mtunza siri
10. Mwenye kujua maana ya utu

Ndugu yangu  kama huna hata nusu ya hizi sifa jua kazi ipo  ! kiukweli andika maumivu, hayo yatakuwa sio mapenzi ya kweli na kama mmedumu muda mrefu elewa wazi kuwa una kitu mbadala kinachomfanya mpenzi wako aendelee kuwa na wewe....

0 maoni: