Wednesday 23 January 2013

Mzee wa FC Barcelona na Mdada wa Hips dont lie wapata kidume cha mbegu....

New mother: Shakira has revealed to her Twitter fans that she's given birth to son Milan - her first child with boyfriend Gerard Pique

New mother: Shakira  amewajulisha wapenzi wake kupitia ukurasa wake wa Twitter  kuwa amejifungua mtoto wa kiume  anayeitwa  Milan , Milan ni mtoto wa kwanza kwa Shakira ambaye amezaa na mpenzi wake  mwana ndinga wa FC Barcelona  Gerard Pique (pichani)

Who's the daddy? I am! Gerard Pique beamed from ear to ear as he left the hospital following the birth of his son
Who's the daddy? I am!  Gerard Pique  akionekana mwenye furaha  baada ya kutoka hospital kwa mara ya kwanza baada ya Shakira kujifungua

Happy family: Shakira's parents Nadia Ripoll and William Mebarak and Lucy Mebarak were happy to speak to waiting reporters outside the hospital
Happy family: Wazazi wa Shakira  Nadia Ripoll na William Mebarak na dada yake Shakira Lucy Mebarak  wakiongea na waandishi wa habari  waliokuwa wakisubiri nje ya hospital ambako Shakira alijifungulia mtoto huyo

Announcement: She let her fans know she had given birth by tweeting a message revealing his name and weight immediately
Announcement: Tangazo la uzazi  ambalo lilitolewa na Shakira kwa Mashabiki wake  likionyesha jina na uzito wa mtoto wake Milan


Updating fans: She was admitted into a hospital in Barcelona on Tuesday, where she tweeted fans before going in to labour
Updating fans: Shakira alilazwa katika hopital moja huko  Barcelona  siku ya jumanne  na aliona si mbaya kama akiwajulisha mashabiki wake kabla hajaingia labor

So emotional, so lovely jamani Shakira anaonyesha kuwa na upendo sana na Mashabiki wake.... Hot n Town tunamtakia maisha mema ya umama...... Hongera Mdada wa Hips dont lie.

0 maoni: