Jamani msicheke mkadhani sifa , haya mambo yanaweza kumkuta mtu yoyote si unajua sio kila kitu tunazaliwa tukikijua? Kuna jamaa katoka zake mkoani kapewa ofa ya kunywa pombe na rafiki yake ..... si unajua mambo ya Lager tena ukifikisha bia nne hujainuka wewe nunda! sasa kimbembe kilimkuta jamaa baada ya kwenda huko maliwato si unajua mambo ya Digital? na jamaa kwa kujifanya mjuaji kashindwa kuuliza kaendeleza zoezi kana kwamba anafanya jambo la kawaida aaaaaaaah watu macho kodo.... mjaa usoni mkavu ........ hebu iangalie hiyo picha hapo juu utagundua naongelea nini ....
0 maoni:
Post a Comment