Thursday 20 December 2012

Vichuna vya BALOTELLI hvi hapa .....

Bambino: Mario Balotelli's ex Raffaella Fico and their daughter Pia. The Man City player has yet to meet his child

Inaonyesha wazi kabisa BALOTELL christmass hii kwake ni mzuri na hasa atapoungana na mwanamke mpya maishani mwake -  Mtoto wake wa kwanza Pia Balotelli aliyezaa na  ex - mpenzi Raffaella Fico. Inasemekana hadi sasa Balotell  hajakutana na kichuna chake hicho  zaidi ya kuona pia zake  kupitia email! sipati picha mzee wa why always me atadataje atapoonana na hicho kimdada kipya.....

0 maoni: