Saturday 22 December 2012

Kumbe Q Chillah nae kama Ray C?

Wimbi la Wasanii wa Muziki wa kibongo kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kumbe ni kubwa kuliko inavyojulikana na wengi, hivi karibuni wambea wa mjini tulizinyaka habari kuwa Msanii mahiri wa muziki wa Bongo Fleva maarufu kama Q chillah nae anahusika na utumiaji wa madawa ya kulevya! na hii ilitokana na habari zilizozagaa mtaani na  baada ya mashabiki wengi wa muziki kumzungumzia  sana!   cha ajabu na kushangaza mwenyewe amekiri na kusema alikuwa anatumia madawa hayo lakini kwa sasa ameachana nayo na ana takribani miezi saba toka aache.................

0 maoni: