Tuesday, 18 December 2012

SAJUKI;ANGALIA PICHA 3 ZIKIMUONYESH SAJUKI AKIDONDOKA JUKWAANI WAKATI AKIWASALIMIA WASHABIKI WAKE!




MSANII wa filamu nchini, Sajuki alidondoka jukwaani juzi wakati akijaribu kuwasalimia mashabiki wake waliofurika kumtazama kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. 

Sajuki  ambaye jina lake halisi ni Juma Said Kilowoko alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kupungukiwa dawa na kulazimika kwenda kutibiwa nchini India.

Mwingizaji huyo alipanda jukwaani katika tamasha la lililowahusisha wasanii wa filamu na muziki, lakini ndoto yake ya kusalimia mashabiki wake hakuwezekana.

 Mara baada ya kukabidhiwa kipaza sauti Sajuki alitamka neno moja ”ahhh" na kudondoka chini na wasanii wenzake walimsaidia kuinuka na kumuondoa jukwaani hapo.

Akizungumza na gazeti hili muda mfupi mara baada ya kushuka jukwaani Sajuki alisema hali yangu si nzuri kwani nahishiwa nguvu na anahitaji matibabu zaidi.

”Kaka hali yangu si nzuri kabisa naumwa, sijisikii vizuri,” alisema Sajuki huku akionekana mnyonge zaidi.

Hata hivyo, mashabiki wamefurika uwanjani hapo walionyeshwa kustushwa na hali hiyo na kushutumu wasanii walioamua kumtumia ili wapate fedha ihali mwenzao ni mgonjwa.

“Hawa watu wa Bongo movie ni watu wa ajabu huyu mtu anaumwa, badala ya kumwacha apumzike wenyewe wanamzungusha bila ya kujali afya yake,” walisema mashabiki hao.

Related Posts:

  • Habari njema !!!erikali Imechukua Jukumu la Kumtibu Sajuki Serikali imechukua jukumu la kumhudumia msanii na muongozaji wa filamu Sadick Juma Kilowolo ambaye anatarajia kuondoka wiki ijayo kuelekea India kwa matibabu. Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Wilson Maku… Read More
  • Dawa ya Minyoo na fangasi sugu Mahitaji Vitunguu swaumu Maji ya uvuguvugu Jinsi ya Kutengeneza na kutumia Menya vitunguu swaumu na uvitwange au kuvisaga hali vilainike Changanya mchanganyiko wa vitunguu swaumu na maji ya uvuguvugu kwenye kijiko c… Read More
  • Sex during pregnancy: An overview Is it safe to have sex while I'm pregnant? Most women who are having a normal pregnancy may continue to have sex right up until their water breaks or they go into labor. You won't hurt the baby by making… Read More
  • Nilichokiona leo Temeke hospitali kinatisha Sasa naamini kuwa kuna mkakati wa serikali ya JK kuislamisha nchi hii. Nimeingia na kiberenge changu asubuhi ya leo kumwona mgonjwa aliyelazwa pale. Nikakuta askari wa pale wameziba sehemu ya kuingilia magari kwenda kupark… Read More
  • All About Male Infertility: Signs, Symptoms and Diagnosis Have you and your male partner tried without success to get pregnant and have a baby?  Most people think the woman is responsible for infertility. In reality, the cause may be linked to male infertility. In fact, abo… Read More

0 maoni: