YP kuzikwa leo makaburi ya Chang’ombe
Dar es Salaam. Msanii wa kundi la muziki la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambikile ‘YP’ amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Temeke alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya kifua.
Kiongozi wa kundi …Read More
Okwi: Nitacheza Simba hata bure
BAADA ya kufanikiwa kutua Simba, kiungo mshambuliaji mpya wa kikosi hicho, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa yupo tayari kuendelea kuitumikia klabu hiyo bure.
Okwi amesema maneno hayo akimaanisha kuwa yupo tayari…Read More
Pistons yamtema Hasheem
Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa imemchukua kutoka Oklahoma City Thunder.
Al…Read More
0 maoni:
Post a Comment