Tuesday 23 July 2013

Kuna ukweli wowote katika hili?

Ndugu zanguni,

LEMA, ile kesi ya kubaka bado nasumbuliwa na polisi huku, Naomba uje usafishe jina lako please!
Siku hizi nimekuwa mnyonge sana kwani polisi wa huku UK wamekuwa wakinipigia simu mara kwa mara wakitaka kujua aliko Mbunge wa Arusha bwana Lema anayekabiliwa na kesi ya kumbaka dada mmoja hapa UK. Mimi niliishajitolea kumlipia nauli lakini amekuwa hatoi ushirikiano wowote jambo ambalo linaniweka kwenye wakati mgumu mimi ambaye ndio nilikuwa mwenyeji wake hapa UK.
Nauomba uongozi wa chadema unisaidie kwa hili kwani mimi nimechoka kila wakati kuulizwa aliko huyu mtu na tayari nimeisha tajwa na upande wa mashitaka kama shahidi wa hii kesi.

Makamanda najua mtaanza kutukana lakini hamuwajui vizuri viongozi wenu,

Kama mimi mwongo au namzushia Lema si aje hapa jukwaani atoe majibu ???

Kataeni kuongozwa na viongozi wenye criminal records!

Kwa hisani ya - Uncle C

0 maoni: