Tuesday 23 July 2013

Bongo kila siku mapya.... Baada ya Shilole Kupiga Mkwara Sinta aandika hivi ..............


Seriously najisikia raha sana pale ninapotafutwa kama udi  na uvumba especially ninafanya nini na mambo yangu yananiendeleaje, kumbe nina kikiiii ya hatariii aaah sana, Thank u sweeriesss maana ninajisikia burudani watu kutwa kucha kunitafuta na mafile juuu, kiruuuuu, busy with my business gatta no time to waste for stupidity especially on this holy month, yaani kumbe nawanyima watu usingizi full kuingia humu kuchokonoa wapi kuna error na ku create account fake instagram na kwengineo seriously haters nimejua kuwa mnanipenda sasa mbona mie sihangaikii?? yaani sina hata muda wa ku comment, kuingia ktk blog ya mtu i think Magie can testify this, ku create fake acc jamani daah thank u sintah 4ever baby mwaaaaaa endeleeni.

my wadauziii about bank wanafanyia kazi na soon mtajua kinachoendelea wamesoma ya comments na wamejisikia vibaya so kuweni wa pole mtajua taratibu za kisheria coz it was not sintah aliechafuliwa ni brand (Bank).

Mungu awabariki wote, tupendane na tuheshimiane kama mlivyo sema sijibu kitu loviess, naachia mambo yaporomoke tusubiri kuona mwisho wake kama mnavyo jua dunia duara, 

wajameni mimi huwa ninasema ukweli, mbona mimi huwa nina kubali kukosolewa? kwani mimi ninapumua kama punda na wenzangu binaadamu, tukubali tukatae rohoni mwetu mnajua hiki kitu kwamba wa Tz wengi hawapendi kukosolewa, sasa J wake Lo na Shilole jamani hebu tuweni wakweli aiiiii nimesema kidogo kwa Lina anyway tusubiri collabo nahisi nitaenda kuingiza vocal maana my dada hatokosa kuniita nijionee mchiriku mix

Ciao
Love u all mnaonipenda,msionipenda nawaombea kwa Mwenyezi Mungu mjikubali

UJUMBE WA LEO
kuweni makini na unachoandika,  maana statement moja inaweza ikakuletea shida esp ktk message, email hatari sana. ndio maana waswahili wanasema mdomo huponza kichwa.

CEO, kubwa la maadui.

siishi bila mkopo, mwenye document zozote ruksa kutoa narudia tena siishi bila mkopon mwenye document nilipo kopa ATOE

Hebu fungua hapa labda utapata picha na kujua chanzo - Sinta Vs Shilole

0 maoni: