Monday 24 December 2012

Ukitaka kuwa maarufu BONGO lazima uwe hivi?!!






5 maoni:

omari chande said...

sio kukaa uchi ndo umaarufu bali wamezowea hao kukaa uchi

omari chande said...

kukaa uchi wanataka wao tu na si umaarufu

abdul hakim said...

huo c umaarufu bali ni kueneza umalaya katika jamii na hayo si maadili mema

Frank Tarimo said...

Ujinga mtupu. Unaamka asubuhi na kufikiria kufanya madudu!

Frank Tarimo said...

Ujinga mtupu. Unaamka asubuhi na kufikiria kufanya madudu!