Monday 24 December 2012

Faida 10 za kupiga punyeto!!


Ama kweli kuwa uyaone na sio magorofa ni maisha jinsi yalivyo!!!  wambea wa mji tulibahatika kuongea na baadhi ya wanaume wa chama cha wapiga punyeto  (CHAWAPU) na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo dhahama mbalimbali zinazozaliwa kila  katika suala zima la mapenzi.... bila wasiwasi wanaume hawa walitetea desturi yao na walikuwa na haya ya kusema ...... sekta ya ngono kwa sasa haikamatiki kwa mabalaa mfano kusalitiana,kufirisika ,kondom feki n.k pia ukiuvaa kuna ARV Feki, Kutokana na mabalaa  Kwa kipindi hiki tumeona kuna umuhimu wa kuhamasisha  upigaji wa PUNYETO ili kujiepusha na mabalaa na maambukizi ya ukimwi na bila ubishi tumegundua faida bila kupata hasara

FAIDA ZA PUNYETO
- inakuepusha dhidi ya presha za mapenzi!
- Inakufanya ukidhi haja zako!
- inaepusha kupata ukimwi na magonjwa ya zinaa 100%
- inaleta maendeleo indirect,kwani hutapoteza pesa!
- inakupa Uhuru katika Kukidhi haja zako!
- kutokana na ubize, inakuepusha kuwaza mambo mabaya!
- inakuepusha dhidi ya Mimba zisizotarajiwa
- Indirect Inapumguza watoto wa mitaani na umaskini kwa ujumla!
- inakuepusha dhidi ya Mafumanizi na maumivu ya mapenzi!
- Inakupa raha! 


0 maoni: