Muheshimiwa aumbuka, afumaniwa na mke wa Mfanyakazi wake
NI aibu kubwa kuliko maelezo! Meneja wa kampuni ya kusafirisha mizigo ya Malawi Cargo, tawi la mkoani hapa, Everson Makowa-Mwale (49), raia wa nchi jirani ya Malawi amenaswa chumbani na mke wa mfanyakazi wake (jina tunalo)…Read More
Diamond avunja rasmi ndoa ya Irene Uwoya
JAMBO limezua jambo, lile sakata la kunaswa hotelini kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Irene Uwoya limezaa matunda hasi kwa ndoa ya mwadada huyo ambayo sasa imevunjika rasmi, Amani limetonywa.
Habari ya wawili hao kunas…Read More
0 maoni:
Post a Comment