Sunday 9 December 2012

Ndoa ya SANDRA wa Bongo movie kushineiiiiiiiiii


Inasemekana ndoa ya msanii wa bongo movie (pichani) Sandra aliyeolewa na kaka wa Miss Tanzania wa 2012  Salha imevunjika ...... Wambeya wa mjini tulipodadisi zaidi tumepata taarifa kuwa ndoa hiyo iliyozaa matunda ya watoto wawili imekufa kabisa kutokana na kile kinachoaminika kuwa uchakachuliwaji wa ndoa hiyo !!!!!  Chanzo  ambacho ni ndugu wa Mwanaume haukuwa tayari kuweka wazi kuwa uchakachuaji huu upo upande gani...
Muhusika Mkuu - Sandra alipotafutwa kuzungumzia hilo hakuwa tayari kutoa ushirikiano, ila mumewe hakuweza kupatikana .....  watu hawakuona shida wanamtilia timu Miss Tanzanian  anabaye ni  mdogo wa mume wa Sandra, Salha  alikiri ndoa ya kaka yake kusambaratika ila hakutaka kuongea zaidi.....

0 maoni: