Monday 4 February 2013

Mpoto kugombea Ubunge?

Mkali wa muziki wa ngonjera Tanzania Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba  amefunguka na kuweka wazi nia yake ya kugombea UBUNGE mwaka 2015. Mpoto amesema atagombea ubunge ila hajaweka wazi CHAMA  wala JIMBO atalogombea . Msanii huyo amefunguka kuhusu nia yake hiyo wakati wa mahojiano aliyofanya  na television ya Star TV kupitia kipindi chake cha ke cha tuongee .

Stay tune.............................

0 maoni: