Friday 11 January 2013

Je huyu anafaa kuwa kiongozi?


 
Tumezinyaka nyepesi kitaa kuwa mwanamuziki huyu anania na kashatangaza kwa baadhi ya watu  kuwa atagombea Ubunge katika jimbo fulani siku za usoni.......... Najiuliza sana  na nashindwa kuelewa kama Uongozi wa siku hizi watu  wanaangalia nini? Je Kiongozi ni mtu wa namna gani na anatakiwa aweje? Najiuliza na kushindwa kupata jibu..............

0 maoni: