Tuesday 23 July 2013

Kwa hili hongera ..........KAJALA asherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wa Kituo cha Tanzania Mitindo House


Hii ni baadhi ya vitu alivyopeleka kituoni

Alipata wasaa wa kuongea na watoto wakiwa darasani

Kajala aliandaa keki maalumu na kushare na watoto

Akiteta jambo na watoto

Happy birthday to you x2 Happy birthday dear Kajala happy birthday you.... How old are you now?

MCHEZA filamu mahiri wa Bongo, Kajala Masanja jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto yatima wa Kituo cha Tanzania Mitindo House kilichopo Msasani jijini Dar es Salaama na kutoa misaada mbalimbali kwa ajili ya kituo hicho chenye watoto mchanganyiko.
(PICHA NA IMELDA MTEMA / GPL)

0 maoni: