Tuesday 11 December 2012

Bongo movie yazidi kuelemewa na pepo la ngono laivu





BASATA Mpooo?

Yaani kama kuiga sasa hii imezidi! na kama utandawazi wenyewe uko hivi basi hata haufai! Jamani hawa si binadamu wa kawaida? si watoto waliotoka kwa wazazi wao? Jamani tunaenda wapi? na Mwisho wake ninini kama watu watafumbia macho mambo haya?  Wasanii  wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, wamekutwa ‘laivu’ wakifanya mambo haya hadharani , sijui ndio walikuwa kwenye shooting au?


0 maoni: